Vol. 11 No. 2 (2002): Nordic Journal of African Studies
Back Issues

Nafasi ya Kiswahili katika ujenzi wa jamii mpya ya Afrika Mashariki

John G. Kiango
University of Dar es Salaam, Tanzania
Nordic Journal of African Studies

Published 2003-03-31

How to Cite

Kiango, J. G. (2003). Nafasi ya Kiswahili katika ujenzi wa jamii mpya ya Afrika Mashariki. Nordic Journal of African Studies, 11(2), 13. https://doi.org/10.53228/njas.v11i2.354

Abstract

Lugha ni chombo muhimu sana cha mawasiliano kilichoundwa na sauti za nasibu za kusemwa na kutumiwa na jamii ya utamaduni fulani. Jinsi ambavyo zipo jamii nyingi za tamaduni mbalimbali duniani, vivyo hivyo ziko lugha mbalimbali zilizoundwa kukidhi haja ya mawasiliano ya tamaduni mbalimbali.